cutie

Karibu Wakala Daftari!

Hifadhi kumbukumbu ya miamala na Wakala Daftari.
Wakala Daftari inakusaidia wewe wakala wa huduma za kifedha, kuhifadhi kumbukumbu za miamala yako. Kumbukumbu hizi zitakusaidia kutambua maendeleo ya biashara yako.

Wakala Daftari inakupa uwezo wa kukusanya maiamala kutoka mitandao yote na kuiweka mahali pamoja.

Wakala Daftari will not be available to the public until May 25th. We kindly invite you to return on that date.


cutiecutie

By using Wakala Daftari you agree to Wakala Daftari's terms of use and privacy policy.